Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Sunday, June 12, 2011

KP


Local Jacuzzz

Mambo haya ya kujipa raha mwenyewe!

TZ?

ni hapa kwe2 au?

LAmpard

nd' maana kiwango kimeshuka aiseee!

Kapten Wa Ukweli


Wa ukweli huyu!

Chapa ilale

Chapa ilale lazima ifike hiyooo!

Tupige vita tabia hzi!

Mambo ya Gongo haya.........

Mrembo we2

mrembo we2 wa wiki hii

Mduara huooo

haya sasa vjana wa kitaa!

njaa noma

njaa haina baunsa!

mnh!


uchizi mwingine bhana!

huyu dingi hana dini cyo!


mambo hayoo wazee!

Wadau wa Tosa mpo?

enzi hizo ukisikia mtu anasoma Tosamaganga basi wamheshimu balaaa... nakumbuka kipindi hicho nilikuwa zangu pomerini high schoo ndani ya iringa.... wadau mlio pitia hapa twambieni wazee!