Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Saturday, August 27, 2011

World pictures of the decade (2000-2005) part II

Saddam Hussein is filmed after his capture near his home town of Tikrit in Iraq, December 14, 2003.Drowned African immigrants lie on the coast in the Spanish Canary Islands off the coast of Morocco on August 1, 2003.A mourner wearing a SARS mask hides under an umbrella during a funeral in Hong Kong, May 22, 2003.
US Marine Kirk Dalrymple watches as a statue of Saddam Hussein falls in central Baghdad, April 9, 2003.
People gather to get water from a huge well in Natwarghad, India, June 1, 2003.Judge Robert Rosenberg looks at a questionable election ballot following the 2000 US presidential elections, November 23, 2002.Russian special forces remove hostages from a theatre which Chechen guerrillas had taken over in Moscow, October 26, 2002.LEFT: Michael Jackson holds a child out of a window at a Berlin hotel, November 19, 2002. RIGHT: Brazil's Cafu lifts the 2002 World Cup trophy after his team win the final against Germany in Japan, June 30, 2002.A girl screams as an aftershock hits the already devastated village of Nahrin in Afghanistan, March 27, 2002.A Turkey named Liberty surprises President George W Bush at the annual turkey pardoning event at the White House, November 19, 2001A woman shows her face in public for the first time after five years of Taliban Sharia law in Kabul, Afghanistan, November 14, 2001.
Smoke rises from the remains of New York's World Trade Centre, September 12, 2001.
An American flag flies near the base of the destroyed World Trade Centre in New York, September 11, 2001.

World pictures of the decade (2000-2005) Part I

Riot police storm past a dead protestor, shot and killed by Carabiniere, in central Genoa, July 20, 2001.A boy sits among women during morning prayers in a mosque in Tehran, Iran, May 24, 2001.Palestinians run to escape Israeli soldiers firing teargas, during clashes in the Gaza Strip, October 20, 2000.Flames come from the Air France Concorde seconds before it crashes in Gonesse near Paris Roissy Airport, July 25, 2000.
Israeli Prime Minister Ehud Barak (R) jokingly pushes Palestinian PresidentYasser Arafat into a cabin, watched by US President Bill Clinton, at Camp David, Maryland, July 11, 2000.An Israeli policeman and a Palestinian scream at each other in the Old City of Jerusalem, October 13, 2000.
Zimbabwean farmer Tommy Bayley rides towards a temporary shelter ahead of villagers who invaded his farm near Harare.


Beach in Japan


welcome to Ocean Dome, the world's only indoor beach

mnh! Only in Tanzania

Hii taswira inaonyesha mentality ya kunyenyekea (subservience) ya Mwafrika wa kawaida wa Kitanzania. Ni utaahira usiyo kifani ambao nadhani unatokana na jadi potofu za Watanzania wengi kutii mamlaka iwe baba, mama, mchungaji, padri, sheikh, chifu hadi rais blindly bila kujali kwamba wana makosa au kasoro zilizo wazi

Saturday, August 6, 2011

Hali Si Shwari UDA

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Deo Filikunjombe akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi Idi Simba alivyoingiziwa Sh 250milioni katika akaunti yake ikiwa malipo ya kuuza hisa za Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), mjini Dodoma jana.
Na Habel Chidawali, Dodoma


WINGU zito bado limeugubika mkataba wa uuzwaji wa hisa za Serikali ndani ya Shirila la Usafiri Dar es Salaam (Uda), kufuatia wanaodai kuwa wamiliki wake kujitokeza hadharani tangu kuanza kwa mvutano ambao umekuwa ukizihusisha pande tofauti.
Wamiliki hao ni Kampuni ya Simon Group Ltd ambao jana waliwambia waandishi wa habari mjini Dodoma kuwa umiliki wake umekidhi vigezo vyote katika kumiliki Hisa kwa asilimia 52.53.
Hata hivyo, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) jana hiyohiyo ilirusha kombora na kusema kuwa mkataba huo ni batili na kwamba fedha zote zipo kwenye akaunti ya kada wa Chama Cha Mapinduzi na mwanasiasa wa siku nyingi (jina tunalihifadhi kwa sasa).
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Simon Group, Robert Kisera alisema kampuni yake ilifuata vigezo vyote vilivyotakiwa na kwamba imejidhatiti kuliendesha Uda bila wasiwasi.
Kisera alisema kuwa hadi sasa kampuni yake imekwishawekeza kiasi cha Sh760 milioni na kwamba kiasi kilichobaki cha Sh500 kinatarajia kulipwa kabla ya mwisho wa mwezi huu.
Msimamo wa POAC
Kwa upande wake, Mwenyekiti POAC, Zitto Kabwe aliitisha mkutano wa Waandishi wa habari katika Viwanja vya Bunge na kueleza kuwa mkataba wa Uda na Simon ni kizungumkuti na kutahadharisha kuwa aliyeingia mkataba huo amejiingiza matatani mwenyewe.
Zitto alisema kuwa kilichofanyika ndani ya mkataba huo ni ufisadi mtupu na akaeleza kuwa tayari kamati yake ilishabaini kuwa yako madudu makubwa hivyo ikaomba Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kuingilia kati kwa ajili ya kufanya ukaguzi kwa kina.


“Taratibu hazikufuatwa,na uamuzi wowote utakaofanyika ni batili kwa kuwa tayari sisi tumeshaanza mchakato wa kubaini kilichopo ndani ya mkataba huo ikiwa ni pamoja kumuagiza CAG na tayari Spika ana taarifa hizo,’’alisema Zitto.
“Kutokana na hilo, hapa jamaa kaingia choo cha kike na kwa vyovyote vile lazima ametapeliwa na wajanja kwa kuwa kamati ilishamwambia mapema lakini anashindwa kuelewa kuwa Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma ndiyo yenye jukumu la kubinafsisha mashirika zaidi ya hapo ni hakuna.’’


Kwa upande wake Makamu mwenyekiti wa kamati hiyo, Deo Filikunjombe (Ludewa-CCM) alisema kuwa kinachoyatafuna mashirika ya umma ni Msajili wa Hazina ambaye ameshindwa kutimiza wajibu wake kwa zaidi ya miaka 10.
Filikunjombe alisema kuwa kwa zaidi ya Miaka 10 Msajili ameshindwa kuteua bodi jambo linaloonyesha kuwa uwezo wake ni mdogo sana ambao hata kwa dawa asingeweza kujinusuru zaidi ya kusababisha migogoro kila kunapokucha.


Alisema kutokuwapo kwa bodi kulifanya uamuzi kufanyika kiholela holela jambo ambalo limeifanya Kamati hiyo kuwa na shaka.Mbunge huyo alisema kuwa kuna uzembe ndani ya serikali ambao umekuwa ukisababisha baadhi ya wachache kuendelea kutafuna mali za umma wakati nchi ikibaki maskini.


“Kwa mfano angalieni tarehe hizi 2/9/2009 ziliingia Sh 250,00 milioni ziliingia Benki M’, Makambako tarehe 26/11/2009 ziliingizwa Sh 20 milioni Benk M’ Songea kabla ya tarehe 9/12/2009 kuingizwa kiasi cha Sh 30 milioni katika tawi la Mlimani City zote zikiwa ni akaunti za (anamtaja mwanasiasa huyo),'.


Alisema kumekuwapo maneno ya kuichafua kamati hiyo kwamba inafanya kazi chini ya mwamvuli wa vigogo walioko ndani ya Serikali jambo alilokanusha.
“Kwanza Watanzania naomba watambue kuwa Simon haijanunua Uda, bali kilichopo ni kwamba Simon ilinunua zile hisa ambazo hazikuwa zimelipiwa na kuwa hakuna kigogo yeyote nyuma ya kampuni hii na huyo wanayemtaja mimi simfahamu,' alisema Kisera.
Shutuma nyingi alizirusha kwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika ambaye alisema kuwa kuwa ndiye amekuwa akiichafua Simon Group na kumtaka mbunge huyo kufunga mdomo ili asiingilie mambo yoyote kuhusu mkataba huo.Kwa mujibu wa Kisera, kitendo cha Mnyika kuandika barua kwenye ukusara wa ‘face book’ akielekeza shutuma kwa Simon ni kitendo cha uonevu na manyanyaso kwa mwekezaji mzawa.


Mnyika aliingilia kati mvutano ulioko kati ya Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi na Meneja wa Uda, Victor Milanzi, akisema hakuna mwenye haki ya kumnyooshea mwingine kidole, kwani wote wawili ni sehemu ya matatizo yanayolikabili shirika hilo.
“…Wote wawili wameshiriki kwa kiwango kikubwa katika kukiuka sheria, kanuni na taratibu kwenye uendeshaji wa UDA bila kuzingatia kwa ukamilifu maslahi ya wasafiri na walipa kodi,” alisema Mnyika katika taarifa yake kwa vyombo vya habari aliyoitoa kupitia mtandao wa facebook.

NAPE ATEMBELEA CLOUDS MEDIA GROUP LEO

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na baadhi ya viongozi na waandishi wa Clouds Media Group alipotembelea ofisi za kampuni hiyo Mikocheni Dar es Salaam,

UJENZI WA SOKO LA MWANJELWA WAANZA KUSUASUA


picha za karibu inayo onesha Soko la mwanjelwa mbeya

mh! prblm maker

mh!

Hawa ndio wafanyabiashara wa mafuta nchini wakivutana na Serikali juu ya bei mpya !

Wako Tanzania kwa kazi moja tu, kuchuma. Na kwa bahati mbaya sana tuna serikali legelege, hivyo basi imenywea kwa "wachakachuaji" wasiotaka kushusha bei.
serikali legelege ilishindwa kuwadhibiti wasichakachue mafuta sasa inaelekea kushindwa kuwadhibiti wachakachuaji ili washushe bei ya mafuta.

God bless Tz


Karibuni wageni na wakimbizi ndani ya Tanzania.....