Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Friday, September 17, 2010

Serikali ya Uingereza kuchangia kiasi cha sh. bilioni 240 katika Bajeti ya Taifa


Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo( kulia) akitangaza uamuzi wa Serikali ya Uingereza wa kuchangia katika Bajeti ya Taifa(GBS) kiasi cha bilioni 240 leo mjini Zanzibar . Kushoto ni Naibu Waziri wa Idara inayoshughulikia Misaada ya Kimataifa ya Uingereza (DFID) Stephen O’Brian. ( Hizi Hela zote zinaenda wapi jamani) 

No comments:

Post a Comment