Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Tuesday, October 12, 2010

CCM TU


"kijana Denis akubali sera za chama cha mapinduzi nakurudi kundini kutoka kwenye chama cha chadema, kijana anasema kura yake ya urais atampatia JK na siyo tena Slaa kama alivyokuwa amepanga, karibu Kiongozi..." 

No comments:

Post a Comment