Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Sunday, October 24, 2010

Karume jana Jioni

Sagura Sagura inaendelea kwa kipindi hiki cha kampeini askari wa Jiji naona wako rikizo fupiii ya kamwezi!

No comments:

Post a Comment