Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Thursday, January 20, 2011

Wasanii wa bongo kuweni na mavazi ya misibani..



How comes unaenda msibani kwa mwenzio hivi? Au mnakuwa mawindo? dah hata kama ni globalization. Tuheshimu misiba na mazishi, sio sehemu ya mzaha.Hii ilikuwa kwenye msiba wa baba wa msanii wa maigizo Nova.

No comments:

Post a Comment