Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Saturday, April 9, 2011

MAPIGANO YA KUGOMBEA ARDHI YAUA DAR...


Watu wanokadiriwa zaidi ya watano wanasadikiwa kufariki baada ya mapigano kuzuka kati ya wakazi wa eneo la Nyakalekwa Tegeta na watu waliokodishwa kwenda kuvunja nyumba zilizojengwa katika eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 200 linalodaiwa kumilikiwa na mkazi mmoja wa jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment