Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Sunday, June 12, 2011

Wadau wa Tosa mpo?

enzi hizo ukisikia mtu anasoma Tosamaganga basi wamheshimu balaaa... nakumbuka kipindi hicho nilikuwa zangu pomerini high schoo ndani ya iringa.... wadau mlio pitia hapa twambieni wazee!

No comments:

Post a Comment