Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Saturday, August 27, 2011

mnh! Only in Tanzania

Hii taswira inaonyesha mentality ya kunyenyekea (subservience) ya Mwafrika wa kawaida wa Kitanzania. Ni utaahira usiyo kifani ambao nadhani unatokana na jadi potofu za Watanzania wengi kutii mamlaka iwe baba, mama, mchungaji, padri, sheikh, chifu hadi rais blindly bila kujali kwamba wana makosa au kasoro zilizo wazi

No comments:

Post a Comment