Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Saturday, December 10, 2011

Ajali Mlima Nyoka




Ajali hiyo imehusisha gari la abiria aina ya Coaster yenye nambali T755 BHA lililokuwa likitokea Rujewa wilayani Mbarali kuja Jiji Mbeya na Lori la mizigo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam lenye namba za usajili T 859 AGL kugongana pande zote za kulia za magari hayo

Picha za Sherehe ya Miaka 50 ya Tanzania Bara





Sunday, December 4, 2011

Tumethubutu


Tumeweza

ipe jina hii picha!

tuige mambo haya jamani


namuna hiyo hakutakua na mambo ya kuvunja ndoa kila siku

Mafuriko huko Monduli yaleta madhara vifo na uharibifu mkubwa..!


mafuriko huko Monduli yameleta madhara makubwa sana katika makazi ya watu na mazao yao na wengine kupoteza maisha.

Celebrity Uchwara wa Bongo


kwani ukijiheshimu kwa kuvaa mavazi mazuri huwezi kuwa maarufu? dhiki zinawaua ninyi

Mwandosya bado ajikongoja



Mark Mwandosya akijikonja na mwanae Emma

Rais Jakaya Kikwete Akabidhi Mwenge Wa Uhuru Jeshi La Wananchi Wa Tanzania ili Upandishwe Kwenye Kilele Cha Mlima Kilimanjaro



Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa majeshi Jenerali Davies Mwamunyange ambaye atawakabidhi wapandishaji mlima kilimanjaro