Soma kwa umakini hii ramani halafu tizama huu utajili wa asili tulionao lakini bado wazawa wa nchi hii tuko maskini na baadhi yetu tumekuwa watu wakushindia mlo mmoja kwa siku...... kuna watu kabisa wanafurahia hali hii na wanazidi kuweka matabaka baina yetu.......
No comments:
Post a Comment