Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Sunday, July 11, 2010

Usiombe....


Huna budi Kumshukru Mwenyezi Mungu unavyoamka asubuhi na kwenda kazini na ukarudi ukiwa salama salimini... kuna wengine wanaitafuta nafasi hii na bado hawajapata....

No comments:

Post a Comment