


Anyone see the channel 4 programme about rampant african corruption, makes me realise where all the money from live aid went. Ive always thought africans are not fit to govern Africa, maybe a second bout of colonialism will do the trick. Yea i imagine we have corruption in the uk but in Kenya you have to bribe everyone to do anything through every level of authority. I know people might not agree with my statements but it is a continent that has the potential to become so prosperous. But rampant corruption is stoping it, look at zimbabwe, mugabe is one of the ten richest men in the world, and look at his people.
Additional Details
some good points but my question remains - should african governments be removed and placed under a new colonial rule, i dont mean move lots of white europeans in (we dont need another south africa). But if we want to help africa we have to save them from themsleves. And i remember when i was a kid and my dad would go on about how live aid was a waste of time and how you would only be sending money for some government to buy ak47s, guess he was right.
puddy: you are in the running for the best answer. i totally agree, its up to them. We look at what we have and we (the uk) enjoy the prosperity of today because of the actions of our ancestors, over the past 500 years the uk has shaped the world through our language, the industrial revolution and countless other elements. If African counties what to be the tramps of the world relying on handouts from the rest of the world, then let them. I have a conscience but if someone dosent want to help themselves, sod them!
My Quote: The presenter Sorious Samura, did not suggest that the aid should stop. The type of aid and how it is distributed is the problem. This point was made twice; by an interviewee who said Bob Geldof got it wrong 'It should be make corruption history' and again at the end of the programme by Mr Samura himself.
YANAYOWEZA KUKUSAIDIA KUTIMIA NDOTO ZAKO – 2
Naanza kwa kumshuku Mungu kwa upendo aliouonyesha kwangu na kuniwezesha kuiona siku hii ya ya leo nikiwa mzima wa afya. Nadiriki kushukuru kwa sababu, wapo walitamani kuiona wiki hii wakiwa wazima lakini wengine waneshatangulia mbele za haki huku wengine wakiwa hoi mahospitalini na majumbani.
Mimi na wewe ambao tumejaaliwa uhai hadi leo, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu na pia kujaribu kubadilika na kujitahidi kufanya yale ambayo yatamfurahisha na kuachana na yale yatamchukiza.
Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia mambo ambayo yanaweza kumsaidia mtu kutimiza ndoto zake, wiki hii nitamalizia mambo kadha yaliyobaki.
JIPANGE
Baada ya kuorodhesha malengo yako katika maisha. Unashauriwa kutafakari na kutafuta hayo. Hapa nazungumzia suala zima la maandalizi ambayo ytakusaidia kufikia ndoto zako kwa usahihi na kwa haraka.
Kama malengo yako yatahitaji mtaji wa kutosha basi itakulazimu kutafuta pesa kwa nguzu zote na kama itakuhitaji kuwa na elimu ya kutosha huna budi kujibadilisha katika
USIOGOPE KUJARIBU
Maisha siku zote wana msemo ni mapambano na kujitoa mhanga. Maisha ni kujitolea na kutoogopa kujaribu kwa kuhofia kushindwa. Kamwe usiogope kujaribu kwani hata ikitokea ukashindwa bado kwako itakuwa ni changamoto na njia ya kujifunza maisha zaidi.
TUMIA MUDA WAKO VIZURI
Wenzetu wazungu msemo wao usemao “Time is money” ni kweli, muda ni hazina na asilimalinyeti
JIFUNZE KWA WENGINE
Kuwa tayari kutoka kwa wengine ambao wamefanikiwa katika kile unachotamani kukifanya. Jaribu kudadisi na kung’amua ni kwa namna gani wameweza kufikia malengo
USIKATE TAMAA
Katika kujaribu kufikia malengo yako ni wazi kuwa utakutana na vikwazo vya hapa na pale na wakati mwingine kuweza kuhisi huwezi kuendelea tena.
Siku zote vikwazo unavyokutana navyo view ni changamoto kwako ya kujipanga upya na kuanzisha tena mapambano ya kufikia malengo yako. Kimsingi hushauriwi kukata tama kabisa kwani wataalamu wa mambao ya saikolojia wanaeleza kuwa, idadi kubwa ya watu wanaoishi maisha yasiyokuwa na nyuma wala mbele wametawaliwa na tabia ya kukata tama hata katika mambo ambayo wakiwa wavumilivu wanaweza kufanikiwa.
OMBA MSAADA, USHAURI IKIBIDI
Kujiamini ni mambo ya msini
JIHADHARI NA ANASA
Ulevi na kuendekeza kabla ya kufikia malengo yako kimaisha ni kikwazo kikubwa cha kujitakia na ni sumu mbaya ya fedha na kupoteza muda mwingi katika mambo ya anasa kamwe hayataweza kukusaidia kutimiza ndoto zako. Daima kazi kwanza,starehe baadae, ishi kama mtumwa leo, ili utimie ndoto ya kuishi
JITATHMINI
Katika hatua nyingine ni vyema pia ukachukua muda wako kutathmini namna ambavyo umeweza kutekeleza malengo yako, hii ni pamoja na kuweza kufahamu maendeleo yako katika mpango wa kufikia malengo yako, ni kwa kiasi gani umeweza kufanikiwa pia ni kiasi gani umeshindwa na kwa nini.
Kwa kufanya hivi inaweza kukusaidia kuweza kutilia mkazo zaidi katika maeneo yalioonesha udhaifu na kurekebisha kasoro kadhaa lakini pia kujipanga kwa nguvu mpya ili kutimiza ndoto zako kwa ufanisi zaidi.
Nimefikia tamati, tuonane tena wiki ijayo kwa mada nyingine.