Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Wednesday, November 10, 2010

An enermy of the People

Kama kuna mtu ambaye aliwai kuisoma hii noval basi atakubaliana na mimi kwa situation inayoendelea katika mchakato huu wa kumtafuta Spika wa Bunge: kwa nini wasingemuacha Mh Six aendelee kuliongoza Bunge?

No comments:

Post a Comment