Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Wednesday, November 10, 2010

Mr Slaa

Aliyekuwa mgombea wa urais kupitia chama cha CHADEMA Dr,Willibrod Slaa akisalimiana na baadhi ya wabunge katika jengo la bunge leo jijini Dodoma baada ya kuwasili katika mkutano na wabunge wake leo mchana. Katikati ni mheshimiwa mbunge Dr. Hassani Mwinyi.

No comments:

Post a Comment