Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Wednesday, November 10, 2010

Six Uso kwa uso na Chenge

Spika aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta akisalimiana na Mbunge Mteule wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge , kabla ya kuanza kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo, ambapo wote ni wajumbe wa kikao hicho.(Picha ana Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment