Karibuni NL Internet C@fe kwa huduma safi ya internet yenye kasi ya 5mbps kupandisha na kushusha.Tupo Tabata CCM,mkabala na kituo cha mafuta cha OILCOM.

Wednesday, November 10, 2010

JAMAAANI BUNGENI, Kamata , Sugu & Catherine Magig

Joseph Mbilinyi mhasisi wa bongo foreva aka Mr II akiwa katika pozi nje ya mjengo wa bunge baadhi ya watu walisema kuwa hataweza lakini mvua ya ushindi wa kura alizopata kutaka kwa wananchi wa jimbo la Mbeya mjini ndizo zilizowakata ngebe wabaya wake.
Wabunge CCM kupitia viti maalum Vicky Kamata, akiwa na mwenzake katika ofisi za bunge leo ndio vijana hawa wa bunge.

No comments:

Post a Comment